#VOA. | Watanzania wanatakiwa kuendelea kuimarisha uzalendo walionao
#VOA. | Watanzania wanatakiwa kuendelea kuimarisha uzalendo walionao
Marais wastaafu wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania, Ali Hassan Mwinyi na Jakaya Kikwete pamoja na viongozi waandamizi katika serikali na mabalozi wanaoziwakilisha nchi zao nchini Tanzania wanatoa wito kwa watanzania kuendelea kuimarisha uzalendo na fikra alizokuwa nazo hayati John Pombe Magufuli, ili kufanikisha Tanzania kukua kimaendeleo. Wito huo umeelezwa wakati viongozi hao wakisaini kitabu…
View On WordPress














