Kwa Kweli MUNGU ana watu anajivunia,,na mimi ninahakika juu ya hili kuna namna kubwa sana Mungu anajivunia huyu mtumishi Wake @mkandamizaji kwa sababu madini aliyonayo hata kama ni mvuta bangi ataelewaa tu.. #Kuhani,Bishop na Mch.@mkandamizaji barikiwa mno na MUNGU unaye mtumikia azidi kukunyenyekesha vivyoo kwa utukufu wake,nimejifunza mengi... (at Jehova Jire TV Tanzania) https://www.instagram.com/p/CnAdDg3KLGG/?igshid=NGJjMDIxMWI=










