#TRT: Uturuki yataka kuboresha mahusiano na Marekani Waziri Mkuu wa Uturuki Yıldırım amesema kuwa ni vyema Uturuki na Marekani ikaanza mahusiano mapya. Kwa mujibu wa habari,waziri huyo ameitaka Marekani na Uturuki kutafuta suluhisho ya matatizo yao na kuendeleza uhusiano mzuri.

















