Haki za Raia |DHAMANA NI NINI?
Haki za Raia |DHAMANA NIÂ NINI?
Dhamana ni ruhusa ya kuwa huru anayoweza kupewa mtuhumiwa wakati uchunguzi wa kosa lake unaendelea au shauri lake likiendelea kusikilizwa mahakamani, au akisubiri uamuzi wa rufaa yake.
Dhamana ni haki inayopata msingi wake katika katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  ambayo ina dhana inayotamka kwamba mtu hatochukuliwa kuwa mwenye hatia mpaka tuhuma zithibitishwe dhidi yake.
Ili kuzingatia…
View On WordPress












