Kwa Cappuccino mwanana kabisa watembelee hawa jamaa #CappuccinoCafe wako pale #Bamaga opposite na Chuo cha Ustawi wa Jamii . Picha kuna misosi ya kila aina tena ile ya kiasili kabisa. Cc @kajunasonblog @tippoathumani @moss_mossi @joelfrankc @chokadj @mdimuz












