Gharama ya maumivu yangu kamwe hawawezi kuifidia!! πͺ#Maana mara nyingi Sana wamekuwa wakiniuliza eti niko wapi?? πͺ#Huwa ninawajibu tu kuwa βNiko Gheto ninajibrandβ πͺ#Jana pia wakaniuliza, kuwa niko wapi?? Nikawajibu kuwa βNiko Pwani ninajibrandβ πͺ#Na kwa bahati nzuri zaidi!! Mungu amenipa nyota, wengi wanaikopi!! πͺ#Na vile watu walivyo watafiti wanajaribu kuroga mpaka vyuma duu!! πͺ#Na Wakati huohuo wanajua wananikimbiza kumbe wananisindikiza tu niendako!! #AMSTRONG THAN YOU THINK MEEN (at Sayona Mboga) https://www.instagram.com/p/CA_KJDqJqAU/?igshid=xay7puwhtzkm







