Hofu ni kitu kitu kibaya mno! Hofu hujenga kitu hewa ukiaminicho! Hofu huondoa ujasiri kwa yeyote! Hofu inanguvu kuliko chochote! Hofu huondoa tumaini la kufanikiwa! Hofu haikai pamoja na Imani! Hofu! Hofu! Hofu! Hofu! Hofu! Hofu! #KemeaHofu! #IkataeHofu #FukuzaHofu! #Simamakwamiguuyakousiyumbe! (at Dar es Salaam, Tanzania) https://www.instagram.com/p/B_x5oVJJJJ-/?igshid=1wi00usznv7w2
Loading...
















