NDEMLA FUTA VUMBI KWENYE KIOO
NDEMLA FUTA VUMBI KWENYE KIOO
Kuna nafasi moja tu ya kuishi ambayo kila mwanadamu hupewa na mwenyezi Mungu. Nafasi ambayo unatakiwa uitumie kuionesha ulimwengu sababu ambayo ilimfanya Mungu akuumbe. Na hii ndiyo zawadi kubwa ambayo kila mwanadamu kapewa katika nafasi iliyo sawa na mwenzake, ƙlakini tofauti huja kwenye matumizi ya nafasi hii. Matumizi ya nafasi ya uhai ndiyo huleta utofaufi wa mafanikio kati ya mtu na mtu…
View On WordPress











