Repost from @cloudsfmtz Leo vijana wa Chuo Kikuu cha Dodoma (#Udom) kwa namna ya pekee wameomba Ruge Mutahaba (Mkurugenzi wa vipindi na Uzalishaji #CloudsMediaGroup) awe appreciated na taifa hili ikiwemo kutunukiwa PHD ya heshima na kutambuliwa kama Dr.Ruge Mutahaba. #Vijanathinktank #CloudsDigital #Videopart2









