From @advocate.fi 2015; Mwana ya @officialalikiba ilibeba tuzo 6 za Kill Music awards katika kila category iliyokuwa nominated.. No doubt hapakuwa na better n completed project zaidi ya #Mwana kwa wakati huo (2014/2015). Though sio kwamba hapakuwa na Wasanii wengine waliotoa kazi nzuri ila “Mwana Dar Es Salaam” ilienda beyond. Kama kuna mtu ana hoja, atutajie project bora zaidi ya hii. 2017; Kupitia Eatv Awards Alikiba alibeba tuzo 3 kupitia hit #AJe pamoja na kukusanya Tuzo zaidi ya 23 za Kimataifa ndani ya Mwaka mmoja, kama kuna mtu alionewa basi atutajie ni project gani kubwa ambayo ingeweza kupindua meza dhidi ya #Aje kwa wakati huo. 2022; Major hit #Utu (Only one King Album), imeweza kukusanya tuzo 5 za #TMA. Hebu nitajie ni kazi ipi ilistahili zaidi ya hizi za @officialalikiba. Kwa sasa Album mpya ipo kwenye hatua za mwisho (mastering) na inatarajiwa kutoka mwaka huu na hatujui maajabu gani itaenda kuleta ila by prediction King hanaga kazi mbovu. Hivyo badala ya Wasanii kulialia na kutafuta huruma kwenye media ni bora muda huo wangeutumia kufanya mziki mzuri maana kwa namna Album hii Kiba anayotarajia kuitoa yenye Hit songs 22 kuna kila dalili ya watu kwenda kutafutana tena kwenye tuzo za Mwakani. #Unstoppableink #Theboldtz Written by @advocate.fi •Advocate | Expose | Inform• #PoweredBy @KudraFashionTz & @IamKudrajr (at Kigoma) https://www.instagram.com/p/Ccm1pxqqD1v/?igshid=NGJjMDIxMWI=










