Sadio Mane anakwambia kushinda ubingwa wa Afcon akiwa na Senegal ni childhood dream yake. Kushinda nyumbani ni ndoto ya kila mtu kwani ndiyo mahali pekee ambapo kukubalika huwa sio rahisi kuliko ugenini. Yes; unaweza ukakubalika ugenini sababu watu hawakujui ila kukubalika nyumbani ambapo kila mtu anakujua in and out ni zawadi. Congratulations King @officialalikiba, “Only One King” Album imethibitisha kwamba, Mziki wako unajitetea wenyewe bila kuhadi. Wanajitahidi kujisahaulisha kupitia takwimu za kihuni kumbe Mziki ni watu. Views na streams halisi hazipo kwenye mitandao ambapo mtu yeyote anaweza kuzichezea, Views na streams halisi zipo mtaani kwa watu na huko ndio kumeendelea kukuheshimisha na kukuweka on top tangu Sinderella mpaka “Only one King”. Ni wazi kuwa jana ulistahili kubeba tuzo hata 10 ila kwa sababu ya busara za majaji ilibidi kidogo kitu na wenzako wapewe.. Ijapokuwa Best Collabo #Ndombolo imewauma wengi ila so mbaya. Kudos his Majesty. Written by @advocate.fi •Advocate | Expose | Inform• #PoweredBy @KudraFashionTz & @IamKudra (at Kigoma) https://www.instagram.com/p/Ccm2bCHquP7/?igshid=NGJjMDIxMWI=