Mkuu wa Wilaya ya Temeke Godwin Gondwe amempa Mkandarasi siku saba arekebishe Barabara ya Keko
Mkuu wa Wilaya ya Temeke Godwin Gondwe amempa Mkandarasi siku saba arekebishe Barabara ya Keko ambayo imekuwa kero ya muda mrefu kwa Wakazi wa Temeke. “Hii ni Barabara ambayo ipo kwenye mpango wa kupita magari yaendayo kasi, moja ya makubaliano katika mkataba ni kufanya marekebisho madogomadogo na tayari TANROADS wamewakabidhi, hatuwezi kukaa kusubiri, nimewapa siku saba Wakandarsi watengeneze…
View On WordPress




















