ASANTENI WAHESHIMIWA #MAWAZIRI KWA HATUA MLICHUKUA DHIDI YA #WALIMU WALIOMPIGA #MWANAFUNZI ISIVYO #HALALI ! TUNAAMINI TUTAANZIA HAPA KAMA WADAU WA #ELIMU KUTAFAKARI UPYA #ADHABU KWA WANAFUNZI KWA UJUMLA. Waziri wa Wizara ya #TAMISEMI, ameagiza kushushwa cheo kwa Mwalimu Mkuu wa Shule ya #Mbeya Day. - Mwalimu Mkuu huyo anadaiwa kutaka kuficha tukio la kupigwa kwa Mwanafunzi. Zaidi, #Soma => http://bit.ly/2dxPnBJ Taarifa rasmi za tukio la kupigwa Mwanafunzi Mnamo #Tarehe 28.9.2016, mwanafunzi aitwaye Sebastian Chinguku wa form 3A mbeya day sec school aishie Uyole alipigwa na walimu watatu, Mwl Frank Msigwa, John Deo #UDSM na Sanke Gwamaka wa #Nyerere Memorial, wote wakiwa mafunzo. Mwl Frank alitoa assignment ya Kingereza na baadhi ya wanafunzi hawakufanya akiwepo Sebastian hakufanya, darasani mwl alimpiga kofi kijana na #kijana akahoji kwanini anampiga wakashikana koo, ndio walimu wakamchukua na kumpeleka #staff room na kuanza kumpiga vile. Tangu tar 29. #September mwanafunzi hakuonekana shuleni. Na mwl Esther Harembo wa Iringa #University ndio aliyekuwa akisema mwacheni mtamuumiza. Ndio aliyechukua #video. Hao walimu wote hawapo wameondoka kwenda kwenye vyuo vyao. #POLISI wanaendelea kuwahoji uongozi wa Mbeya Day Sec School na Mwanafunzi aliyeumizwa ikiwepo kumpeleka hospitali.Nimeelekeza vyombo vya dola Dar wawatafute chuoni kwao hao walimu kuhusiana na shambulio hilo kwa mwanafunzi huyo. Mwigulu Nchemba, W MNN TAARIFA KUTOKA WIZARA YA ELIMU. Waziri wa Elimu Prof. Joyce Ndalichako amewafukuza chuo Waalimu waliokuwa katika mafunzo kwa vitendo Shule ya Mbeya Sekondari kwa kumpiga kikatili Mwanafunzi. SHARE TAFADHALI!
Loading...



















