Mida hii Tunaelekea Leaders Club Kinondoni . RepostBy @pamojaapp: "Mpango mzima uki download @pamojaapp kwa simu yako na kuionyesha entrance atapunguziwa 50% ya gharama ya tiketi na hivyo basi utapata tiketi kwa Tshs 5000 tu..... Hii si ya kukosa njoo tujumuike pamoja upate burudani kali kutoka @youngkiller @gigy_money @fezakessy @stevrnb @malaikatz @amber_lulubae @bob_juniour na wengine kibao na barbecues yaan kitu ya nyama choma, mbuzi na kuku choma,, business cases, children's corner na mambo zingine kibao..... Save the date 24 /9.. Jumamosi hii tunafanya maajabu pale leaders grounds na baadae high spirit lounge #PamojaCarnival #noumarweekend #hiisiyakukosa #downloadpamojaapp #appthatwelove #goodvibes #enjoyinglife #parting #watotowazuri #amazingwanna #buildcoolconnections #lonelynomore Proudly being first swahil networking app,,, click on bio to join the revolution #fun #friends #weekend #tgif #saturday #plans #daressalaam #love #darlife #together #life #video #tanzania #app #best" (via #RapidRepost @AppsKottage)