Jikoni Leo Kifungua Kinywa/Breakfast Smoothie “Daima tunamshukuru Mungu, Baba wa Bwana wetu Yesu Kristo, wakati tunapowaombea. Maana tumesikia juu ya imani yenu kwa Kristo Yesu na juu ya mapendo yenu kwa watu wote wa Mungu. Imani yenu na mapendo yenu vina msingi katika tumaini mlilowekewa mbinguni. Mlipata kusikia juu ya hilo tumaini mara ya kwanza wakati mlipohubiriwa ule ujumbe wa ukweli wa Habari Njema. Injili inazidi kuzaa matunda na kuenea ulimwenguni kote kama vile ilivyofanya kwenu nyinyi tangu siku ile mliposikia juu ya neema ya Mungu na kuitambua ilivyo kweli.” Wakolosai 1:3-6 BHND “We give thanks to the God and Father of our Lord Jesus Christ, praying always for you, since we heard of your faith in Christ Jesus and of your love for all the saints; because of the hope which is laid up for you in heaven, of which you heard before in the word of the truth of the gospel, which has come to you, as it has also in all the world, and is bringing forth fruit, as it is also among you since the day you heard and knew the grace of God in truth;” Colossians 1:3-6 NKJV #Jikoni #Chai/tea #juice #smoothie #breakfastideas #breakfast @kenwoodworld @tescofood @rahelfood @rahelchai #PraisetheLord#WordofGod#wordoftheday#versesoftheday#bibleverses#biblestudy#qoutesoftheday#prayernetwork#dailyinspiration#beblessedShalom#anzanamiBwanaYesu#biblia#NenolaMungu#Nenolaleo#colossians1 #barikiwa🙏 #eastafrica#tanzania🇹🇿 #chai#Coventry🇬🇧 #lifestyleblogger#vlogger #mswahili🇹🇿#rachelsiwa🙏🏽 ❤️ https://www.instagram.com/p/Cbcjh_YN-fI/?utm_medium=tumblr







