#TRT: Umoja wa matifa wapongeza pendekezo la Uturuki kwa Bangaldesh Umoja wa Mataifa umepongeza Jumanne hatua ya Uturuki ya kupendekeza kufunguliwa mipaka ya Bangladesh ili Rohinga wapate kuingia na Ankara kujitolea kulipa gharama zote za wakimbizi.










