Hatua moja kwenda nyingine
“Kila mtu ALIYEOKOKA halafu ANALISOMA NENO na pia ni MWOMBAJI, hawezi KUFELI KWENYE MAISHA, anaweza ASIMSIKIE MUNGU KWA SAUTI KUUUUBWA lakini NDANI YAKE ANAWEKEWA MAWAZO NA MUNGU YA NINI CHA KUFANYA ILI KUTOKA LEVEL MOJA HADI NYINGINE… Binafsi, 90% YA NILICHOFANYA HADI SASA NI KWA NJIA YA MAWAZO ANAYONIPA MUNGU wakati wa maombi au baada, wakati wa kusoma au kusikiliza Neno, vitabu vya watumishi…
View On WordPress












