Fifa wamrejesha kitini Maigari
Fifa wamrejesha kitiniΒ Maigari
Shirikisho la Soka la Kimataifa (Fifa) limemrejesha madarakani Rais wa Shirikisho la Soka la Nigeria (NFF), Alhaji Aminu Maigari.
Tayari rais huyo ameingia ofisini baada ya kuwa ameondoshwa na serikali, Nigeria wakafungiwa na Fifa kabla ya hatua zaidi kuchukuliwa, lakini amebakiza siku nane tu za utawala wake wa kipindi cha kwanza.
Maigari ameahidi kufanya kazi na wajumbe wote 13 wa Bodi ya NFFβ¦
View On WordPress










