IJUE DAWA HATARI YA KUFICHUA WAZINZI
IJUE DAWA HATARI YA KUFICHUA WAZINZI
Kiazi cha Mlangamia au Mbaraimu ni jamii ya viazi kama vilivyo viazi vingine, ingawa chenyewe kipo tofauti na viazi ambavyo tunatumia kama chakula, kuanzia upatikanaji wake hadi kwenye matumizi.
Wataalam wengi wa tiba za jadi na kisunnah hupendelea sana kukitumia kiazi hiki kama moja ya sehemu ya tiba. Huenda mpenzi msomaji ukajiuliza maswali kwanini wajuvi hawa hupendelea kutumia aina hii ya…
View On WordPress









