#TahiyaTrends sasa kuanza kurushwa kupitia kituo cha television cha #AzamTV2 #Michuziblog kaa mkao wa kufaidiiii.....

#dc comics#dc#batman#tim drake#dick grayson#bruce wayne#batfam#batfamily#dc fanart





seen from Canada

seen from United States

seen from Australia

seen from Germany

seen from United States

seen from United States
seen from Germany

seen from United States

seen from United States

seen from United States

seen from Malaysia
seen from United States

seen from United States

seen from United States
seen from New Zealand

seen from United States
seen from Greece
seen from United States
seen from Thailand
seen from China
#TahiyaTrends sasa kuanza kurushwa kupitia kituo cha television cha #AzamTV2 #Michuziblog kaa mkao wa kufaidiiii.....

Anya is live and ready to show you everything. Watch her strip, dance, and perform exclusive shows just for you. Interact in real-time and make your fantasies come true.
Free to watch • No registration required • HD streaming
Alijiamini nini huyu jamaa??? #Repost @michuziblog with @repostapp ・・・ Hapo vipi??? #Michuziblog
#Repost @michuziblog with @repostapp ・・・ KUBENEA AHUKUMIWA KIFUNGO CHA NJE #michuziblog Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imemuhukumu mbunge wa Ubungo (CHADEMA) Saeed Kubenea kifungo cha nje cha miezi mitatu kutokana kosa la kutumia lugha ya matusi dhidi ya aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Paul Makonda ambaye sasa ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam. Akisoma hukumu hiyo leo Jijini Dar es Salaam Hakimu Mkazi wa Mahakama ya Kisutu Thomas Simba amesema kuwa mahakama imeamua kumpa mshitakiwa adhabu ya kifungo hicho kwa kuwa ndilo kosa lake la kwanza, hivyo Mshatakiwa anastahili kupata adhabu ya huruma. Chini ya adhabu hiyo iliyotolewa chini ya kifungu no 89 kifungo kidogo cha kwanza Mhe. Kubenea hatakiwi kufanya kosa la aina yoyote ambalo litamsababisha arudishwe tena mahakamani na endapo itatokea akafanya hivyo mahakama itampa adhabu ya kifungo cha kwenda jela. Awali kabla ya kutolewa kwa hukumu hiyo mshtakiwa Said Kubenea  mbele ya Hakimu Mkazi Thomas Simba  alipewa nafasi ya kujitetea ni kwanini asipewe adhabu kali kwa kosa alilolitenda ambapo alieleza Mahakama hiyo kuwa hakuwa na nia mbaya ya kwenda kufanya fujo eneo la tukio ambapo kulikuwa na mgomo wa wafanyakazi wa kiwanda cha nguo cha TOOKU cha jijini Dar es salaam bali alikwenda kwa lengo la kutafuta suluhu ya mgomo huo akiwa kama mwakilishi wa wananchi wa jimbo la Ubungo. Ikumbukwe kuwa Jalada la kesi hiyo na 320 ya mwaka lilifunguliwa na Jamhuri dhidi ya Said Kubenea kwa kosa la kutumia lugha ya matusi kwa aliyekuwa mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Paul Makonda, Aidha upande wa washtakiwa wameonyesha kutoridhishwa na hukumu hiyo na wameomba kukata rufaa
#Repost @michuziblog with @repostapp ・・・ #Breaking :Basi laparamia Kibanda cha Kituo cha Mabasi yaendayo kasi eneo la Kimara Jijini #Dar usiku huu, ni Basi la Muro linalofanya safari zake kati ya Mwanza kwenda Dar. #Michuziblog
#Repost @michuziblog with @repostapp ・・・ #michuziblog Shirika la UmemeTanzania Taarifa kwa Umma Shirika la Umeme Tanzania ( TANESCO) linawataarifu wateja wake kote nchini kuwa kutakuwa na maboresho katika mfumo wake wa LUKU utakapolekea wateja kushindwa kununua Umeme kwa njia zote siku ya Alhamisi tarehe 24, March 2016 kuanzia saa 5 usiku hadi tarehe 25 March 2016 saa 11 Alfajiri. Sababu za kukosekana kwa huduma hiyo ni : Matengenezo ya kuboresha mfumo wa LUKU. Uongozi unaomba radhi kwa usumbufu utakaojitokeza. Imetolewa na ofisi ya uhusiano TANESCO makao makuu.

Anya is live and ready to show you everything. Watch her strip, dance, and perform exclusive shows just for you. Interact in real-time and make your fantasies come true.
Free to watch • No registration required • HD streaming