Chadema yafunika Uzini: Mgombea wake arudisha fomu kwa kishindo
Chadema yafunika Uzini: Mgombea wake arudisha fomu kwa kishindo
Mgombea wa Chadema katika kinyang’anyiro cha Mjumbe wa Baraza la Wawakilishi katika Jimbo la Uzini Zanzibar Bw. Ali Mbaruku Mshimba amerejesha fomu yake leo tarehe 24/01/2012 akiomba Tume ya Uchaguzi Zanzibar na kuteuliwa kuwa Mgombea kwa tiketi ya Chadema. Bw. Mshimba alishika nafasi ya pili katika Uchaguzi wa 2010 akifuatiwa na Mgombea wa CUF Video Rating: 5 / 5
View On WordPress
















