#DW: Mawaziri Uingereza wafadhaishwa na mchakato wa Brexit
#DW: Mawaziri Uingereza wafadhaishwa na mchakato wa Brexit
[ad_1]
Katika mkutano wa chama tawala cha wahafidhina- Conservative uliofanyika mjini Manchester kaskazini mwa London Waziri wa fedha wa Uingereza Philip Hammond alififisha umuhimu wa masharti mapya yanayopaswa kufuatwa katika mazungumzo hayo ya Brexit yaliyotolewa na waziri wa mambo ya nje ya nchi hiyo Boris Johnson ambayo yanaonekana kuleta mgawanyiko katika baraza la mawaziri la serikali ya…
View On WordPress










