Anaitwa Cheed Msanii Kutoka @kingsmusicrecords Ya Ali Kiba, Alianza Kufanya muziki Miaka Kadhaa iliyopita Lakini Hakubahatika Kutoka Kimuziki, amewahi kushiriki Mashindano mengi Ya Kusaka Vipaji lakini Haikuwezekana Kumtobolesha ingawa alijifunza kuwa sugu Na (Kutokata Tamaa) Sauti Yake Nyororo Akaamua Pia kujifunza Kutaarisha Muziki Lakini Bado Ikawa ngumu Kwake Kupenya Ku Record Audio Anaweza, Video ikawa changamoto, na Ku Promote pia Changamoto Basi Cheed anasema kuna Wakati Baadhi ya watu walikua wanajaribu kumvunja Moyo kuwa Sauti yake ni Ya Kike, Mwenyewe anasema alikua anaiskia Sauti yake ikimwambia Cheed Usiache, Cheed Pambana Cheed angalia hao walionyuma yako wanakutegemea wewe💪 Basi Jamaa akawa anaendelea kupambana Na hakuacha kumwomba mungu amjaalie Atoke Kisanii ili aje kukomboa Vipaji Vingine Mtaani, pamoja na kujikomboa kiuchumi yeye Na Wazaz wake Mungu hamtupi mja wake, akakutana na King Kiba, Akapikwa Zaidi Mwisho Wa cku Kazi zikaanza kufyatuliwa mwishon Mwaka jana 2018 Wataalamu wa Mambo wanasema Ili Msanii aweze kuimba na kumfata Cheed basi ni lazima Akatobolewe Koo kitaalamu Marekaniiii la sivyo yan kama Msanii anaetaka kum copy Cheed atalazimisha basi koo lake litapasuka Paaaaa, Sasa sauti hiyo hiyo akiitoa yeye mwenyewe wala mishipa ya shingo Haimsimami, sana sana utamwona ana tabasamu 😃 Cheed Sasa Hivi Tangu atolewe na @kingsmusicrecords Amepiga Show Chache Sana lakini ni kubwa na zenye mafanikio Ya Kuvunja Record Africa Cheed Ameperform Fiesta, Funga Mwaka Na King Kiba Na Mombasa Juzi juzi Ni Msanii Mpya na ametoa Ngoma yake #Masozy Na #KayTuga tarehe 13 December ni takribani Wiki mbili zilizopita lakini Wimbo Wao Ume hit Africa Nzima, Huku Youtube Ukiwa Umeshatazamwa Zaidi Ya Mara 800,000 Youtube Rekodi ambayo Kufikiwa na Msanii Mpya Sio Kitu Cha Mchezo Mchezo Hata Angekua anafanya Muziki Marekani Au Uingereza @shilawadu Tunasema Karibu Rasmi Kwenye Muziki wa Kizazi Kipya @officialcheed Ubuyu Kama Woteee Camera za Mashilawadu zipo kila kona, Kila La Heri 🙌 https://www.instagram.com/p/BsLWEObB4eH/?utm_source=ig_tumblr_share&igshid=1my43j7k9azig