UJUE MPANGILIO WA NYOTA YAKO KATIKA NDOA NA MAPENZI
Nyota huchangia katika mahusiano ya Maisha ya Mwanadamu. kwa maana hapa nitafafanua ni nyota zipi kati ya walionazo watu na endapo wakiungana na kuwa wapenzi basi mapenzi yao yatadumu. Ikitokea wapendanao watakuwa katika nyota ambazo haziendani katika udumu wa ndoa au mapenzi basi wasihofu, zipo njia za kufanya ili mapenzi yao yadumu. Nitazielezea njia hizo ili watu wapate faida. NYOTA ZIPATANAZO…
View On WordPress
















