Kwaresima Siku ya 8 - Ishara ya Yona na Wito wa Toba
Kristo, Karibu.. Tumefika siku ya 8 karika wiki ya pili ya Kwaresma Mpendwa Mungu akubariki, na Endelea kujinyima huku ukitafakari upendo wa Mungu. Jaribu kufunga hadi jioni au kula mboga na matunda pekee, kama Nabii Danieli. Badala ya kula, tumia muda wa njaa katika sala na tafakari. Tumia muda wa ukimya mbele za Mungu, ukiwa kanisani au chumbani. Omba kwa moyo na umweleze Yesu mahitaji yako.…













