#VOA: Burundi yasema imewaua 'wahalifu' 22 waliokuwa wanataka kuleta machafuko
#VOA: Burundi yasema imewaua ‘wahalifu’ 22 waliokuwa wanataka kuleta machafuko
[ad_1]
Vyombo vya usalama vimesema askari wawili wa jeshi la polisi waliuawa na watu sita waliowashambulia kukamatwa.
Mapambano hayo yalitokea baada ya wakazi wa eneo kuwatahadharisha polisi kuwepo kwa darzeni ya watu wenye silaha waliojificha katika mashamba ya kahawa wilaya ya Nyabiraba, kiongozi wa eneo ameliambia shirika la habari la Uingereza Reuters kwa sharti la kutotajwa jina lake.
Poli…
View On WordPress














