#DW: Wahouthi waadhimisha miaka mitatu ya kuteka Sanaa.
#DW: Wahouthi waadhimisha miaka mitatu ya kuteka Sanaa.
[ad_1]
Waasi Wahouthi na makundi yanayomuunga mkono aliyekuwa rais wa Yemen Ali Abdullah Saleh waliuteka mji wa Sanaa mnamo tarehe 21 Septemba mwaka wa 2014 na kulitumbukiza taifa la Yemen katika machafuko na kushawishi muungano unaoongozwa na Saudi Arabia kuingilia kati dhidi yao mwaka uliofuata.
Alhamisi, ndege za muungano huo ziliweza kusikika angani mwa Sanaa huku halaiki ya watu, waasi…
View On WordPress














