#DW: Maoni: Wajerumani waadhimisha siku ya Muungano
#DW: Maoni: Wajerumani waadhimisha siku ya Muungano
[ad_1]
Wajerumani wanaadhimisha miaka 27 hii leo tangu walipoungana upya baada ya kuporomoshwa ukuta wa Berlin . Mhariri mkuu wa DW Ines Pohl anasema katika uhariri wake licha ya baadhi ya shida zilizopo, matarajio ambayo bado hayakukamilika na miradi ambayo haikutekelezwa, siku ya leo ni siku ya furaha.
Oktoba tatu ni siku ambayo ulimwengu mzima unaikodolea macho kwa fahari nchi hii ambayo…
View On WordPress












