FAIDA ZA KUFUGA KAMBARE #Kambare ni aina ya #samaki wanaoweza kukua hadi kufi kia kilo 10 na hivyo humuwezesha #mfugaji kujipatia kipato na nyama zaidi kuliko #perege na aina nyingine za #samaki. Nyama ya #kambare imethibitishwa kuwa na kirutubisho kijulikanacho kama Omega-3, ambacho humpunguzia mlaji uwezekano wa kupata athari za magonjwa mbalimbali kama vile saratani, shinikizo la damu, na magonjwa ya akili. #Kambare wanapofugwa pamoja na #perege (kambare mmoja kwa kila perege wanne mpaka watano), hudhibiti mazaliano ya perege, hivyo kuwawezesha kukua hadi kufikia uzito mkubwa (mpaka kilo 5). #Tufuge kwa #tija #tufuge #kibiashara Kupata huduma wasiliana nasi kupitia simu: +255 712 253 102(WhatsApp) +255 765 291 489 +255 625 994 023 Email: [email protected] @mifugo_tz @kilimo_tz @afyakiganjani #mifugo #mifugotz #kilimotz #kilimo #drkessyvet #kuku #broiler #tanzania l #bata #kuchi #kilimoufugaji #kilimanjaro #sungura #vifaranga #daktariwamifugo #afyakiganjani https://www.instagram.com/p/Bxq2GtYDooW/?igshid=60q6cncs0rfr











