@Regrann from @cloudsfmtz - Hakika tarehe 8/9/2016 itabaki kuwa #Imooooooo baada ya Msimu wa #TigoFiesta kuwakutanisha @iam_mziwanda @shilolekiuno_badgirlshishi Tazama Jinsi mambo ilivyokuwa asubuhi ya leo wakati wa safari hiyo Dar - Tabora - September 9 utakutana nao juu ya jukwaa la #FIESTA huwezi jua huwenda wakapanda pamoja kuziimba ngoma kama #JikeShupa x #MtotoMdogomdogo. @tigo_tanzania @tigomusictz #TigoFiesta. - #regrann (at Mbezi Msigani)







