Mwajiri una Dhuluma
Mfanyi kazi ana mengi ambao huvunja moyo hata baada ya kutia bidii katika kazi yake kwa mwajiri. Huteswa na kupitia mengi ya dhuluma, lakini kwa mwajiri wake bora tu amsaidie kupat riziki yake. Tazama shairi hili...
Nimetenda ya huduma, japo machungu nameza,Ya suluhu nasukuma, malipo hujaongeza,Nakupachika lawama, sinalo la kunyamaza,Mwajiri una dhuluma, unatenda ya kubeza. Unawania kuvuma, kishujaa watokeza,Kwa anasa umezama, kwingine yanapooza,Kutoa inakuuma, bilioni wawekeza,Mwajiri una hujuma, unatenda kuchukiza. Mwanangu ashika tama, maakuli akiwaza,Hana lake vazi jema, ya maisha yamkwaza,Kwa kilioβ¦
View On WordPress








