Ni nani huyu Rais mpya wa soka Kenya?
WAKATI kukiwa na wasiwasi kuhusiana na uwezo wa majirani zetu Kenya kuwa tayari kwa mashindano ya Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika kwa wachezaji wa ndani (CHAN), Shirikisho la soka nchini humo limepata sura mpya ya uongozi kwa kipindi kingine kijacho. Itakumbukwa kuwa Kenya ni mwenyeji mwenza wa AFCON mwaka 2027 akishirikiana na Tanzania na Uganda, hivyo kabla ya fainali hizo kutakuwa na…

















