Ghana wawafukuza Boateng, Muntari
Ghana wawafukuza Boateng, Muntari
Utovu wa nidhamu umeendelea kusumbua timu za mataifa ya Afrika, na sasa Ghana wamewafukuza kambini wachezaji wao wawili muhimu.
Kutokana na utovu wa nidhamu, Kevin-Prince Boateng na Sulley Muntari wamesimamishwa kwa muda usiojulikana kuchezea Black Stars.
Chama cha Soka (FA) cha Ghana kimewaondoa mara moja kwenye hoteli walimokuwa na wenzao nchini Brazil na kuwapatia tiketi za ndege kurudi…
View On WordPress








