#DW: Trump arudisha nyuma baadhi ya sera za Obama kwa Cuba | Matukio ya Kisiasa | DW
#DW: Trump arudisha nyuma baadhi ya sera za Obama kwa Cuba | Matukio ya Kisiasa |Â DW
[ad_1]
Wakati wahafidhina wanaompinga Castro wamekaribisha hatua za kurudisha nyuma baadhi ya sera za maridhiano za aliyekuwa rais Barack Obama na Cuba wabunge kadhaa wa chama cha Republikan hususan kutoka majimbo ya kilimo wamekosowa mabadiliko hayo kuwa ni potofu na ya kujitenga.Wamemtaka rais aregeze vizingiti kati ya nchi hiyo na Cuba ili kukuza biashara na kuzalisha ajira kwa nchi zote…
View On WordPress












