#DW: Merkel atetea kauli yake kuhusu Marekani, Uingereza | Matukio ya Kisiasa | DW
#DW: Merkel atetea kauli yake kuhusu Marekani, Uingereza | Matukio ya Kisiasa | DW
[ad_1]
Merkel amezikasirisha Washinton na London kwa kusema Jumapili kwamba Ulaya inapaswa kubeba hatma yake mikononi mwake, akimaanisha kuwa Marekani chini ya Rais Donald Trump na Uingereza baada ya kura ya kujitoa katika Umoja wa Ulaya hazikuwa tena washirika wa kutegemewa.
Aliyatoa matamshi hayo baada ya Trump kuwakosoa washirika muhimu wa jumuiya ya kujihami NATO kuhusiana na matumizi yao ya…
View On WordPress










