HABARI_NJEMA_KWA_WAKAZI_WOTE_DODOMA_NA_MAENEO_JIRANI❕❕❕ Haleluya wana Dodoma ❗❗❗ Yesu Kristo, ambaye tumekuwa tukisikia na kuzisoma habari zake kwenye Biblia, jinsi alivyofufua wafu,na kuponya viziwi, vipofu, viwete na mabubu HAJABADILIKA❕ Yesu Kristo,bado anaendelea leo kuponya magonjwa sugu na kuwaweka huru watu wenye mapepo na mateso ya aina mbalimbali yatokanayo na kazi za Ibilisi katika kanisa hili kupitia mpakwa wake, #Pastor_Micheal_Mduma ambaye karama za Roho Mtakatifu zinatenda kazi kwa ishara,maajabu na miujiza ya kupita kawaida kama nyakati za mitume tunaosoma habari zao kwenye #Biblia (ACTS 5:12-16;19:11-12). Usikose kuhudhuria tarehe 28-31 mwezi wa Saba, mwaka 2016, kwani Askofu wa Kanisa la FULL GOSPEL BIBLE FELLOWSHIP DODOMA, Mchungaji Michael Eliakimu Mduma, ambaye kwa muda sasa amekuwa ni msaada na baraka kwa watu wengi, kutenda yaleyale aliyotenda kazi ile aliyotumwa kuhubiri habari njema za ufalme wa mbinguni umekaribia na kuwaombea watu wenye Shida na mateso ya aina mbalimbali. Kumbuka ni Siku hizi tatu sio za kukosa wewe na yule ambaye amekuwa akisumbuliwa na matatizo sugu, kwa kuwa Yesu Kristo atakutendea miujiza na baraka baada ya maombezi. Karibu wewe na ndugu, jamaa au rafiki ambaye amekuwa akisumbuliwa na magonjwa yasiyosikia dawa au matatizo yale yaliyoshindikana kwa wanadamu ambayo kwake Yesu Kristo yanawezekana ...! Namna ya kufika kanisani ni vema kuwasiliana nasi kwa namba hizi. +255683011222 +255719744641 +255754047033 Ubarikiwe kwa kusambaza ujumbe huu ili uwafikie watu wengi zaidi kadili iwezekavyo hasa wakazi wa Dodoma ❕❕❕ #YESU_KRISTO_HABADILIKI_NI_YEYE_YULE_JANA_NA_LEO_HATA_MILELE. #Pastors #askofu #mashujaa #maombezi #fgbf #dodoma