Unatakiwa kunywa maji pale uamkapo ukiwa ujakula chochote,itakusaidia kusafisha mfumo wako wa mmeng’enyo (internal system) kwa urahisi. Itatoa uchafu na sumu kwenye Colon ulizozila kupitia vyakula tofauti tofauti .Faida nyinginezo ni Kungarisha ngozi. Renew cells. Kusafishwa kwa colon na kufanya unyonywaji wa virutubisho kuwa rahisi. Inatibu magongwa na maradhi .Unywaji wa maji asubuhi pale uamkapo inakusaidia kutibu maradhi kama matatizo ya ini,TB,kuhara,cancer,matatizo ya macho,maumivu ya kichwa,stress,uti wa mgongo. Hupunguza uzito. #amabateam #amabagroup #bhsm #2017 #wajasiliamali #afya #dr #wagonjwa #elimu #jamii


















