FUNGA NDOA KIURAHISI KUPITIA NYOTA YAKO
FUNGA NDOA KIURAHISI KUPITIA NYOTAÂ YAKO
 NYOTA YA PUNDA NA MIZANI : Mpate mpenzi siku ya Ijumaa kwenye sherehe za ngoma saa 3 au saa 9, vaa nguo rangi mbili juu nyekundu chini njano. Mshike mkono mara kwa mara, hakikisha mnakula kabla ya mazungumzo.
NYOTA YA NG’OMBE NA NG’E :Kutana nae saa nane na uwe peke yako, vaa nguo ya rangi ya kijani iwe siku ya Jumanne saa 2 au 8, mpe chakula cha mafuta mafuta na rojo rojo. Mkutanishe na…
View On WordPress













