SHITUKA😧😧😧 Unadhani kampuni za pepsi na cocacola hazifahamu kwamba ukiwa unakunywa soda zao utahitaji mlo au kitafunio kwa pembeni??? Unadhani kampuni za apple, Infinix na Samsung Hazijui kwamba ukiwa unatumia simu zao unahitaji Laini na pamoja na vocha!!! Unafikiri kampuni za Tesla,Jaguar na Toyota hazifahamu kabisa ukihitaji kutumia gari zao utahitaji na mafuta au umeme ili zitumike??? Hayo yote wanayafahamu ila tu wameamu a kusimama upande ambao wako solid sana,wana creativity kubwa na wana strength ya kushindana na kampuni yeyote ile na kuendelea kufika mbali zaidi", Hivyo kila fursa ni fursa,kila idea ni idea,ila ni vyema zaidi kufocus na vitu vichache ambavyo utavijua nje - ndani,utavijua chini - juu na utakua solid,na utakua na uwezo wa kucompete na kampuni,Taasisi au mtu yeyote yule na Wewe au kampuni au Taasisi yako ikaendelea kusurvive kwa miaka mingi zaidi bila kupoteza soko au wateja wako". #Changes #NgaziJuuYaNgazi #GodIsOpenDoors https://www.instagram.com/p/CZWEj6Sqlp6/?utm_medium=tumblr











