Zaidi ya watu 1,200 wamefariki dunia huku maelfu wakijeruhiwa baada ya kutokea tetemeko kubwa la ardhi nchini Uturuki na Syria huku wengine wakihofiwa kukwama kwenye vifusi. Waziri wa Mambo ya Ndani wa Uturuki , Suleymon Soylu amesema miji iliyoathirika ni pamoja na Gaziantep , Kahramanmaras , Hatay , Osmaniye , Adiyaman , Malatya , Sanliurfa , Adana , Diyarbakir na Kilis huku vyombo vya habari vikiripoti kuwa vifo vingi vimetokea katika maeneo ya Aleppo , Hama na Latakia. ************************** We give you what you deserve ************************************* Follow us @yetusote_tv #diamondplatnumz #wasafimedia #wasafitv #wasafi #simba #wcb #wasafifm #rayvanny #zuchu #alikiba #harmonize #mbosso #wemasepetu #jacklinewolper #mamadangote #bongofleva #chui #tembo #nextlevel #kondegang #chibudangote #zarithebosslady #tetema zarithebos #NBCPL #NBCPLUpdates #NBCPremierLeague #SisiNiSoka #Standing #MillardAyoENT https://www.instagram.com/p/CoWbYTAqMEr/?igshid=NGJjMDIxMWI=