Arsenal watafuta fursa Tanzania
Arsenal watafuta fursa Tanzania
Klabu ya Arsenal iliyopo kaskazini mwa jiji la London imeanza mkakati wa kujikita katika kutafuta ubia na kampuni Tanzania kwa lengo la kujitangaza na kusaidia miradi mbalimbali ya kijamii.
Katika ziara ya Balozi wa Tanzania nchini Uingereza na Ireland, Mheshimiwa Peter Kallaghe aliyoifanya jana katika Uwanja wa Emirates, na kufuatiwa na mazungumzo rasmi na maofisa wa Klabu ya Arsenal, maofisa…
View On WordPress









