INJILI YA YESU
Kama Kweli Wewe Ni Rafiki Yangu, Unathamini Kile Mungu Anafanya Na Kutenda Kupitia Maisha Yangu, Lakini Pia Una Kiu Ya Kuona Roho Za Wengi Zinakuja Kwa Yesu, Na Ufalme Wa Mungu Unajengwa Kwenye Taifa La Tanzania, Naomba Ushirikiane Nami Pamoja Na Timu Nitakayoiongoza Ya WATENDAKAZI 50 Mwezi Ujao April 16 Hadi 21, Mkoani Tabora KUHUBIRI INJILI KWENYE MIKUTANO WALAU MITATU, KUFANYA USHUHUDIAJI WA…
View On WordPress












