Show Hii ya Mshindi wa kwanza kutoka Tanzania Ktk TuZo za B.E.T @rayvanny kwenye msimu wa fiesta Mwanza ilikua Sio ya Spoti Spoti Wimbo wa #Unaibiwa Ndo kwanza Una wiki Lakn mashabik wameuimba kama vile Una miezi mitatu Duh 😳 si Mchezo . Hv Hawa Mashabiki ku krem hz nyimbo wanafanyaje, wanaandika kwenye madaftari au vile ukipgwa kwa redio wana krem na kuu download kwenye simu zao, Au?












