@uchebe1 "Nimemkataza Mke Wangu Kuji Boost Kabla Ya Kupanda Jukwaani..Ni Kawaida Kwa Wasanii Wengi Kupanda Jukwaani Wakiwa Wamelewa ili Kuji Boost ila Kwa Mke Wangu @officialshilole Nimemdhibiti Kwa Sasa.... . ‘’Nimemwambia Usitumie Kilevi Kabla ya Kupanda Kwenye Steji, Kwani Alikuwa Anasema Asipokunywa Anawaona Watu Sio Wengi, Nashukuru Mungu Inafika Hatua Hafanyi Hivyo, Hanywi Pombe, Kama Kunywa Basi Kidogo Sana #Shilole #LeoTena #Ukinitekenya . . Cc @cloudsfmtz @shilawaduxtra https://www.instagram.com/p/BuJXvd6BcaU/?utm_source=ig_tumblr_share&igshid=1gy1oc20no6y5













