Kofia ya Taa ya Baccarat ya Mtoto wa Rais wa Meksiko Debbie Patrocinio Abrego, iliyoagizwa kutoka Ufaransa, iliyomshangaza Mpelelezi wa Tume ya Dunia Kamanda John Murphy Ambilikile kutoka Tanzania, baada tu ya kuingia katika chumba cha kifahari cha Debbie, Ikulu ya Los Pinos, Mexico City. Bei halisi ya Shandalia ya Baccarat ya Debbie ni zaidi ya shilingi za Kitanzania milioni arobaini. Shandalia hii imetumika katika kitabu cha Kolonia Santita. - -Enock Maregesi, mwandishi wa Kolonia Santita #baccarat #lospinos #mexicocity🇲🇽 #ufaransa #france #tanzania🇹🇿 #koloniasantita https://www.instagram.com/p/B3G5QZkBDU4/?igshid=33umfndusygl












