NJIA YA KUDHIBITI MSHAHARA USIOKAA
NJIA YA KUDHIBITI MSHAHARA USIOKAA
Hii ni muhimu kwako mpenzi msomaji wa blogu ya Asili Zetu, hii inawahusu wale ndugu zetu walioajiriwa kwenye sekta binafsi, serikalini au kwa watu binafsi, fuatilia kwa makini uweze kujinasua kwenye mtihani huu.
Unakuta mtu anapokea mshahara wake mzuri tu Tarehe 30 lakini ajabu ikifika tarehe 5 huna hata mia unaanza kukopa dukani kwa Mangi na sehemu nyingine, alafu unakuta wale unaofanya nao…
View On WordPress












