JASHO LANGU NIMELIKUSANYA SASA NALINYWA MWENYEWE ACHA NIKAE KIVULINI NIPUNGE HEWA ILI KIVULI KIKIHAMA NIBAKI JUANI NIENDELEE NA KAZI YA KUVUNA JASHO LANGU...... @diamondplatnumz kwa sasa anaishi kama mfalme Mwenye madaha,ila kwangu mimi naweza kumuita nyoka marangi rangi ,kwamba jinsi anavyomelemeta ndivyo chakula kinavyozidi kujilegeza hatinae anadaKa na kumeza choote... Utamchukia kwa kusikia lakini unatamani azidi kukusogelea.... Basi bhana tunaendeleza tulipoishia jana... @diamondplatnumz ana shahada ya kuwashawishi mashabiki wa muziki kumshabikua yeye,pia anasemekana kuwa ni msanii wa pili anaependwa na kupambwa sana Africa mashariki na kati nyuma ya Mpinzani wake Alikiba.... @diamondplatnumz Anawasimamizi wakubwa wa muziki.. SALLAM AHMED SHARAFF ( Sallam SK) DON MENDEZ HAMISI SHABAN TALETALE (Babu Tale) Na Saidi Hassan Mlinge ( Mkubwa Fella) Pia @diamondplatnumz amekuwa wa madili makubwa tofauti na muziki bado huvuna pesa Nyingi nje ya kazi yake, hii ni baadhi ya mikataba aliyosaini na makampuni kwa kuendesha matangazo nje na muziki....... Mnamo Januari 23 2019 Diamondi alitambulishwa rasmi kama Balozi wa pepsi wa Africa Mashariki, Pia kapewa usimamizi wa pepsi inchini Tanzania pia kasimama kama mtu aliyekabidhiwa kukuza chapa yao ndani ya Afrika na kukuza mauzo. Mnamo septemba 13 2019 alianza kufanya jazi rasmi na Parimatch Africa Kama Balozi wao wa Bidhaa Mnamo septemba 25 2019 aliteuliwa kuwa Balozi wa Nice One Brand Mnamo 4 machi 2020 alizinduliwa kama Balozi mpya wa Bidhaa ya Coral paints Tanzania Simba kama simba natafuta nisiyoyajua Nitawajuza tena... Like & coment Follow @melina.shine_ Also you can follow our hashtag #salushine ------------------------------------------ #melinashine #andikakamamimi #mrbrain #mrskills ------------------------------------------ #salushinetv #shareblackstories #Wcb4life #mrfact #salushineofficial https://www.instagram.com/p/CGk3kArhCMl/?igshid=8p2g71plba8n