#DW: Saudi Arabia na vita visivyo mwisho Yemen
#DW: Saudi Arabia na vita visivyo mwisho Yemen
[ad_1]
Licha ya mashambulizi ya anga yanayofanywa na muungano wa kivita unaoongozwa na Saudi Arabia inayotaka kumrekesha rais aliyepo uhamishoni, na ambayo yameharibu sehemu kubwa ya kaskazini mwa Yemen, waasi wa madhehebu ya kishia, wanaooungwa mkono na Iran, bado wanadhibiti maeneo mengi, ikiwa ni pamoja na mji mkuu wa Sanaa.
Vita viliyopelekea vifo vya zaidi ya watu 10,000 na kusababisha…
View On WordPress














