Kabla siku haijaisha nimgependa kumtakia maisha marefu na yenye bararaka na mafanikio tele #mshikaji wangu, #karateka wangu, #mwanafalsafa #mjasiriamali, katibu wa #tdkc, #katibu wangu, mwanahabari, #hiphopiest @nelson_nhm @home_delivery_store Heri ya kumbukumbu ya siku yako ya kuzaliwa #mkuu Tuliozaliwa mwezi wa #pili tunajiujua na tupo wachache sana dunianiπππππ
Loading...















