VIFAHAMU VYAKULA 10 VYA KUKUPA USINGIZI MWANANA
VIFAHAMU VYAKULA 10 VYA KUKUPA USINGIZIÂ MWANANA
Je, wajua kwamba kuna baadhi ya vyakula au vinywaji tunavyokula na kunywa vinaweza vikaathiri usingizi wetu? Ikiwemo unyawaji wa vimiminika vyenye Caffein muda mfupi kabla ya kulala au matumizi makubwa ya Kompyuta ambayo huathiri usingizi. Unashauriwa utumie vinywaji na vyakula hivi kabla ya kulala kwa ajili ya kufanya mwili na Ubongo wako kupata mapumziko mazuri. Vitu hivyo ni kama ifuatavyo :…
View On WordPress




